1 Timothy 5:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Usimfunge ng'ombe kinywa anapopura nafaka,” na tena “Mfanyakazi astahili malipo yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Maandiko husema, “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka,” tena, “Mfanyakazi anastahili mshahara wake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana andiko lasema, Usimfunge kinywa ng'ombe apurapo nafaka. Na tena, Mtenda kazi astahili ujira wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama Maandiko yanavyosema, “Mnyama wa kazi akitumika kutenganisha ngano, usimzuie kula nafaka.” Na Maandiko pia yanasema, “Mfanyakazi anatakiwa kupewa ujira wake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Usimfunge ng'ombe kinywa anapopura nafaka.” na tena “Mfanyakazi astahili malipo yake.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Usimfunge ng'ombe kinywa anapopura nafaka,” na tena “Mfanyakazi astahili malipo yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Maandiko husema, “Usimfunge ng'ombe kinywa apurapo nafaka,” tena, “Mfanyakazi anastahili mshahara wake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Maandiko husema, “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka,” tena, “Mfanyakazi anastahili mshahara wake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana andiko lasema, Usimfunge kinywa ng'ombe apurapo nafaka. Na tena, Mtenda kazi astahili ujira wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Usimfunge ng'ombe kinywa anapopura nafaka,” na tena “Mfanyakazi astahili malipo yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Maandiko yasema: Ng'ombe mwenye kupura ngano usimfunge kinywa! Na tena: Mtenda kazi hupaswa na kupewa mshahara wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana andiko lasema, Usimfunge kinywa ng’ombe apurapo nafaka. Na tena, Mtenda kazi astahili ujira wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana Maandiko Matakatifu yanasema: “Usifunge kinywa cha ngombe anapokanyaga ngano.” Na tena yanasema: “Mutumishi anastahili kupewa mushahara wake.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana andiko lasema, Usimfunge kinywa ngʼombe apurapo nganu: na tena, Mtenda kazi astahili ujira wake.