1 Timothy 5:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa na mashahidi wawili au watatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiendekeze mashtaka dhidi ya mzee isipokuwa yawe yameletwa na mashahidi wawili au watatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usikubali mashitaka juu ya mzee, ila kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usimsikilize yeyote anayemshitaki mzee. Unatakiwa kuwasikiliza tu kama wapo wawili au watatu ambao wanaweza kusema alichokosea mzee.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa na mashahidi wawili au watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa na mashahidi wawili au watatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiendekeze mashtaka dhidi ya mzee isipokuwa yawe yameletwa na mashahidi wawili au watatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiendekeze mashtaka dhidi ya mzee isipokuwa yawe yameletwa na mashahidi wawili au watatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usikubali mashitaka juu ya mzee, ila kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa na mashahidi wawili au watatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mzee akisutwa, ukatae, wasipokuwapo mashahidi wawili au watatu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usikubali mashitaka juu ya mzee, ila kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukatae mashitaki juu ya muzee isipokuwa kwa ushuhuda wa watu wawili au watatu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Usikubali mashitaka juu ya mzee, illa kwa vinywa vyao mashahidi wawili au watatu.