1 Timothy 5:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa kike kama dada zako, kwa usafi wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao wanawake wazee uwatendee kama mama zako, na wanawake vijana kama dada zako, katika usafi wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watendee wanawake wazee kama mama zako. Na watendee wanawake vijana kwa heshima zote kama vile ni dada zako.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wanawake wazee kama mama yako, na wasichana kama dada zako, kwa usafi wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa kike kama dada zako, kwa usafi wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wanawake wazee uwatendee kama mama zako na wanawake vijana kama dada zako, katika usafi wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao wanawake wazee uwatendee kama mama zako, na wanawake vijana kama dada zako, katika usafi wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa kike kama dada zako, kwa usafi wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawake wazee nao uwabembeleze, kama ni mama zako! Walio wake wazima useme nao na kuyaangalia yote yenye soni, kama ni dada zako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nao wanawake wazee kama mama yako na vijana wanawake kama wadada zako, ukijilinda katika maisha safi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wanawake wazee kama mama, wanawake vijana kama ndugu, kwa utakatifu wote.