1 Timothy 5:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usinywe maji tu, bali unywe divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako, kwani unaugua mara kwa mara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Acha kunywa maji peke yake, tumia divai kidogo kwa sababu ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Timotheo, acha kunywa maji tu, kunywa na kiasi kidogo cha mvinyo. Hii itakusaidia tumbo lako, na hutaugua mara kwa mara.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Usinywe maji tu, bali unywe divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako, kwani unaugua mara kwa mara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usinywe maji tu, bali unywe divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako, kwani unaugua mara kwa mara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Acha kunywa maji peke yake, tumia divai kidogo kwa sababu ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Acha kunywa maji peke yake, tumia divai kidogo kwa sababu ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usinywe maji tu, bali unywe divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako, kwani unaugua mara kwa mara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usifulize kunywa maji tu, ila utumie mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbo lako, likipatwa na manyonge mara kwa mara!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya maumivu ya tumbo lako na uzaifu wa mwili wako wa kila mara, tangu sasa usikunywe maji tu, lakini utumie divai kidogo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Jilinde nafsi yako uwe safi; tokea sasa usinywe maji tu, bali tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo marra nyingi.