1 Timothy 6:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nakuamuru ushike maagizo yako na kuyatii kwa uaminifu mpaka siku ile atakapotokea Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
uishike amri hii bila dosari wala lawama hadi kufunuliwa kwake Bwana wetu Isa Al-Masihi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwamba uilinde amri hii pasipo mawaa, pasipo lawama, hata kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tenda niliyokuamuru kufanya bila dosari au kulaumu mpaka muda atakapo rudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
nakuamuru ushike maagizo yako na kuyatii kwa uaminifu mpaka Siku ile atakapotokea Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nakuamuru ushike maagizo yako na kuyatii kwa uaminifu mpaka siku ile atakapotokea Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uishike amri hii bila dosari wala lawama mpaka kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
uishike amri hii bila dosari wala lawama mpaka kuja kwake Bwana wetu Isa Al-Masihi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwamba uilinde amri hii pasipo mawaa, pasipo lawama, hata kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nakuamuru ushike maagizo yako na kuyatii kwa uaminifu mpaka siku ile atakapotokea Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
uyalinde uliyoagizwa, yasiwe na doadoa wala kilema, mpaka bwana wetu Yesu Kristo atakapotokea;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwamba uilinde amri hii pasipo mawaa, pasipo lawama, hata kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ushike mambo uliyoagizwa kwa uaminifu bila kosa mpaka Siku Bwana wetu Yesu Kristo atakapotokea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ilinde amri hii pasipo mawaa, pasipo lawama, hatta kudhihiri kwake Bwana wetu Yesu Kristo,