2 Chronicles 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni akamwambia Mungu, “Ulimwonesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, na umenijalia kuwa mfalme mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani akamjibu Mungu, “Umemwonesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, nawe umeniweka niwe mfalme mahali pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sulemani akamwambia Mungu, Umemfanyia baba yangu Daudi fadhili kuu, nawe umenimilikisha mimi badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni akamwambia Mungu, “Ulimwonesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, na umenijalia kuwa mfalme mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni akamjibu Mungu, “Umemwonyesha baba yangu Daudi fadhili nyingi nawe umeniweka niwe mfalme mahali pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani akamjibu Mungu, “Umemwonyesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, nawe umeniweka niwe mfalme mahali pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sulemani akamwambia Mungu, Umemfanyia baba yangu Daudi fadhili kuu, nawe umenimilikisha mimi badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni akamwambia Mungu, “Ulimwonesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, na umenijalia kuwa mfalme mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo akamwambia Mungu: wewe ulimfanyizia baba yangu Dawidi mambo ya upole mwingi, ukanipa kuwa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sulemani akamwambia Mungu, Umemfanyia baba yangu Daudi fadhili kuu, nawe umenimilikisha mimi badala yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono akamwambia Mungu: “Ulimutendea baba yangu Daudi mema mengi, na umenijalia kuwa mufalme kwa pahali pake.