2 Chronicles 10:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, watu wa Israeli wamekuwa katika hali ya maasi dhidi ya utawala wa ukoo wa Daudi mpaka leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo, Israeli wakaasi dhidi ya nyumba ya Daudi hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo Israeli wakaasi juu ya nyumba ya Daudi, hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, watu wa Israeli wamekuwa katika hali ya maasi dhidi ya utawala wa ukoo wa Daudi mpaka leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Israeli wakawa wameasi dhidi ya nyumba ya Daudi hadi leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Israeli wakaasi dhidi ya nyumba ya Daudi hadi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo Israeli wakaasi juu ya nyumba ya Daudi, hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, watu wa Israeli wamekuwa katika hali ya maasi dhidi ya utawala wa ukoo wa Daudi mpaka leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Waisiraeli walivyojitenga na mlango wa Dawidi mpaka siku ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo Israeli wakaasi juu ya nyumba ya Daudi, hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, watu wa Israeli wakakuwa katika hali ya uasi juu ya utawala wa ukoo wa Daudi mpaka leo.