2 Chronicles 10:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rehoboamu akawajibu, “Rudini kwangu baada ya siku tatu.” Basi wakaondoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Mnirudie baada ya siku tatu. Watu wakaenda zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rehoboamu akawajibu, “Rudini kwangu baada ya siku tatu.” Basi wakaondoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Mnirudie baada ya siku tatu. Watu wakaenda zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rehoboamu akawajibu, “Rudini kwangu baada ya siku tatu.” Basi wakaondoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Kwanza nendeni siku tatu, kisha rudini kwangu! Watu walipokwenda zao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Mnirudie baada ya siku tatu. Watu wakaenda zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rehoboamu akawajibu: “Mwende murudie kwangu nyuma ya siku tatu.” Basi wakaondoka.