2 Chronicles 10:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazee hao wakamjibu, “Ukiwahurumia watu hawa, ukiwafurahisha na kusema nao maneno mazuri, hapo watakuwa watumishi wako daima.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakajibu, “Kama leo utakuwa mtumishi wa watu hawa na kuwahudumia na kuwapa jibu linaloridhisha, watakuwa watumishi wako daima.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia, wakasema, Ukiwa mwema kwao watu hawa, na kuwapendeza, na kuwaambia maneno mazuri, ndipo watakapokuwa watumishi wako siku zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazee hao wakamjibu, “Ukiwahurumia watu hawa, ukiwafurahisha na kusema nao maneno mazuri, hapo watakuwa watumishi wako daima.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakajibu, “Kama leo utakuwa mtumishi wa watu hawa na kuwahudumia na kuwapa jibu linaloridhisha, watakuwa watumishi wako daima.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakajibu, “Kama leo utakuwa mtumishi wa watu hawa na kuwahudumia na kuwapa jibu linaloridhisha, watakuwa watumishi wako daima.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia, wakasema, Ukiwa mwema kwao watu hawa, na kuwapendeza, na kuwaambia maneno mazuri, hapo watakuwa watumishi wako siku zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazee hao wakamjibu, “Ukiwahurumia watu hawa, ukiwafurahisha na kusema nao maneno mazuri, hapo watakuwa watumishi wako daima.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia hivi: Ukijulikana kwao watu hawa kuwa mwema, ukiwapendeza na kuwaambia maneno mema, ndipo, watakapokuwa watumishi wako siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia, wakasema, Ukiwa mwema kwao watu hawa, na kuwapendeza, na kuwaambia maneno mazuri, ndipo watakapokuwa watumishi wako siku zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazee wale wakamujibu: “Ukiwahurumia watu hawa, ukiwafurahisha na kusema nao maneno mazuri, pale watakuwa watumishi wako siku zote.”