2 Chronicles 11:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sora, Ayaloni na Hebroni. Miji hiyo yenye ngome imo Yuda na Benyamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sora, Aiyaloni na Hebroni. Hii ilikuwa miji yenye ngome katika Yuda na Benyamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Sora, na Aiyaloni, na Hebroni, iliyoko katika Yuda na Benyamini, miji yenye maboma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sora, Ayaloni na Hebroni. Miji hiyo yenye ngome imo Yuda na Benyamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sora, Aiyaloni na Hebroni. Hii ndiyo iliyokuwa miji iliyojengewa ngome katika Yuda na Benyamini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sora, Aiyaloni na Hebroni. Hii ndiyo iliyokuwa miji iliyojengewa ngome katika Yuda na Benyamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sora, Aiyaloni, na Hebroni, iliyoko katika Yuda na Benyamini, miji yenye maboma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sora, Ayaloni na Hebroni. Miji hiyo yenye ngome imo Yuda na Benyamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Sora na Ayaloni na Heburoni; hii ndiyo miji yenye maboma katika nchi ya Yuda na ya Benyamini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Sora, na Aiyaloni, na Hebroni, iliyoko katika Yuda na Benyamini, miji yenye maboma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zora, Ayaloni na Hebroni. Miji hiyo yenye kuzungukwa kuta iko Yuda na Benjamina.