2 Chronicles 11:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rehoboamu alioa mke, jina lake Mahalathi binti Yeremothi mwana wa Daudi. Mama yake alikuwa Abihaili binti Eliabu, mwana wa Yese.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rehoboamu alimwoa Mahalati aliyekuwa binti Yeremothi mwana wa Daudi; mamaye alikuwa Abihaili binti Eliabu mwana wa Yese.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Rehoboamu akaoa mke, Mahalathi binti Yerimothi mwana wa Daudi, na wa Abihaili binti Eliabu, mwana wa Yese;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rehoboamu alioa mke, jina lake Mahalathi binti Yeremothi mwana wa Daudi. Mama yake alikuwa Abihaili binti Eliabu, mwana wa Yese.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rehoboamu alimwoa Mahalati ambaye alikuwa binti Yerimothi mwana wa Daudi, mamaye alikuwa Abihaili binti Eliyabu mwana wa Yese.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rehoboamu alimwoa Mahalati ambaye alikuwa binti Yeremothi mwana wa Daudi, mamaye alikuwa Abihaili binti Eliabu mwana wa Yese.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Rehoboamu akaoa mke, Mahalathi binti Yerimothi mwana wa Daudi, na wa Abihaili binti Eliabu, mwana wa Yese;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rehoboamu alioa mke, jina lake Mahalathi binti Yeremothi mwana wa Daudi. Mama yake alikuwa Abihaili binti Eliabu, mwana wa Yese.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rehabeamu akamwoa Mahalati wa Yerimoti, mwana wa Dawidi na wa Abihaili, binti Eliabu, mwana wa Isai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Rehoboamu akaoa mke, Mahalathi binti Yerimothi mwana wa Daudi, na wa Abihaili binti Eliabu, mwana wa Yese;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rehoboamu alioa muke, jina lake Mahalati binti ya Yeremoti mwana wa Daudi. Mama yake aliitwa Abihaili binti ya Eliabu, mwana wa Yese.