2 Chronicles 11:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye, alimwoa Maaka binti Absalomu, naye akamzalia Abiya, Atai, Ziza na Shelomithi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akamwoa Maaka binti Absalomu, aliyemzalia Abiya, Atai, Ziza na Shelomithi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha baada yake akamwoa Maaka, binti Absalomu; na yeye akamzalia Abiya, na Atai, na Ziza, na Shelomithi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye, alimwoa Maaka binti Absalomu, naye akamzalia Abiya, Atai, Ziza na Shelomithi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akamwoa Maaka binti Absalomu, ambaye alimzalia: Abiya, Atai, Ziza na Shelomithi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akamwoa Maaka binti Absalomu, ambaye alimzalia: Abiya, Atai, Ziza na Shelomithi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha baada yake akamwoa Maaka, binti Absalomu; na yeye akamzalia Abiya, na Atai, na Ziza, na Shelomithi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye, alimwoa Maaka binti Absalomu, naye akamzalia Abiya, Atai, Ziza na Shelomithi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamwoa Maka, binti Abisalomu; huyu alimzalia Abia na Atai na Ziza na Selomiti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha baada yake akamwoa Maaka, binti Absalomu; na yeye akamzalia Abiya, na Atai, na Ziza, na Shelomithi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, akamwoa Maka binti ya Abusaloma, naye akamuzalia Abiya, Atai, Siza na Selomiti.