2 Chronicles 11:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rehoboamu alioa wake kumi na wanane na masuria sitini, akazaa watoto wa kiume ishirini na wanne na mabinti sitini. Miongoni mwa wake zake wote na masuria wake, alimpenda Maaka binti Absalomu zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rehoboamu akampenda Maaka binti Absalomu kuliko wakeze wengine na masuria wake. Kwa jumla alikuwa na wake kumi na wanane na masuria sitini, wana ishirini na wanane na binti sitini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Rehoboamu akampenda Maaka binti Absalomu kuliko wakeze wote na masuria yake; (maana alioa wake kumi na wanane, na masuria sitini, akazaa wana ishirini na wanane na binti sitini).
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rehoboamu alioa wake kumi na wanane na masuria sitini, akazaa watoto wa kiume ishirini na wanne na mabinti sitini. Miongoni mwa wake zake wote na masuria wake, alimpenda Maaka binti Absalomu zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rehoboamu akampenda Maaka binti Absolomu zaidi kuliko wakeze wengine na masuria wake. Kwa jumla alikuwa na wake kumi na wanane na masuria sitini, wana ishirini na wanane na binti sitini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rehoboamu akampenda Maaka binti Absalomu zaidi kuliko wakeze wengine na masuria wake. Kwa jumla alikuwa na wake kumi na wanane na masuria sitini, wana ishirini na wanane na binti sitini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Rehoboamu akampenda Maaka binti Absalomu kuliko wakeze wote na masuria yake; (maana alioa wake kumi na wanane, na masuria sitini, akazaa watoto wa kiume ishirini na wanane na mabinti sitini).
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rehoboamu alioa wake kumi na wanane na masuria sitini, akazaa watoto wa kiume ishirini na wanne na mabinti sitini. Miongoni mwa wake zake wote na masuria wake, alimpenda Maaka binti Absalomu zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rehabeamu akampenda maka, binti Abisalomu, kuliko wakeze na masuria zake wote, kwani alichukua wake 18 na masuria 60, akazaa wana wa kiume 28 na wa kike 60.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Rehoboamu akampenda Maaka binti Absalomu kuliko wakeze wote na masuria yake; (maana alioa wake kumi na wanane, na masuria sitini, akazaa wana ishirini na wanane na binti sitini).
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rehoboamu alioa wake kumi na wanane na wahabara makumi sita, akazaa wana makumi mbili na wane na wabinti makumi sita. Kati ya wake zake wote na wahabara wake, alimupenda zaidi Maka binti ya Abusaloma.