2 Chronicles 11:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni, mfalme wa Yuda na Waisraeli wote katika Yuda na Benyamini ya kwamba
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani mfalme wa Yuda, na Waisraeli wote walio Yuda na Benyamini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, uwaambie na Israeli wote waliomo Yuda na Benyamini, ukisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni, mfalme wa Yuda na Waisraeli wote katika Yuda na Benyamini ya kwamba
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni mfalme wa Yuda na Israeli wote waliyoko Yuda na Benyamini na watu wengine wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani mfalme wa Yuda, na Israeli wote walioko Yuda na Benyamini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, uwaambie na Israeli wote waliomo Yuda na Benyamini, ukisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni, mfalme wa Yuda na Waisraeli wote katika Yuda na Benyamini ya kwamba
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwambie Rehabeamu, mwana wa Salomo, mfalme wa Wayuda, nao Waisiraeli wote walioko katika nchi ya Yuda na ya Benyamini kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, uwaambie na Israeli wote waliomo Yuda na Benyamini, ukisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Umwambie Rehoboamu mwana wa Solomono, mufalme wa Yuda na Waisraeli wote katika Yuda na Benjamina kwamba