2 Chronicles 12:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila wakati mfalme alipokwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, walinzi waliiingia wakazibeba ngao hizo na baadaye wakazirudisha katika chumba cha ulinzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila wakati mfalme alipoenda katika Hekalu la Mwenyezi Mungu walinzi walienda pamoja naye wakiwa wamebeba hizo ngao na baadaye walizirudisha kwenye chumba cha ulinzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa kila wakati mfalme alipoingia nyumbani mwa Bwana, wakaja walinzi wakazichukua, wakazirudisha tena chumbani mwa walinzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila wakati mfalme alipokwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, walinzi waliiingia wakazibeba ngao hizo na baadaye wakazirudisha katika chumba cha ulinzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mara mfalme alipokwenda katika Hekalu la BWANA walinzi walikwenda pamoja naye wakiwa wamebeba hizo ngao na baadaye walizirudisha kwenye chumba cha ulinzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila wakati mfalme alipokwenda katika Hekalu la bwana walinzi walikwenda pamoja naye wakiwa wamebeba hizo ngao na baadaye walizirudisha kwenye chumba cha ulinzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa kila wakati mfalme alipoingia nyumbani mwa BWANA, wakaja walinzi wakazichukua, wakazirudisha tena chumbani mwa walinzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila wakati mfalme alipokwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, walinzi waliiingia wakazibeba ngao hizo na baadaye wakazirudisha katika chumba cha ulinzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mara mfalme alipoingia Nyumbani mwa Bwana, hao walinzi wakaja, wakazichukua, kisha wakazirudisha chumbani mwao wapiga mbio.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa kila wakati mfalme alipoingia nyumbani mwa BWANA, wakaja walinzi wakazichukua, wakazirudisha tena chumbani mwa walinzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila wakati mufalme alipokwenda katika nyumba ya Yawe, walinzi waliingia walibeba ngao zile na kisha walizirudisha katika chumba cha ulinzi.