2 Chronicles 12:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rehoboamu alitenda maovu, kwa maana hakunuia kumtafuta Mwenyezi-Mungu kwa moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rehoboamu akatenda maovu kwa sababu hakuuelekeza moyo wake katika kumtafuta Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akatenda yaliyo maovu, kwa kuwa hakuukaza moyo wake amtafute Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rehoboamu alitenda maovu, kwa maana hakunuia kumtafuta Mwenyezi-Mungu kwa moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rehoboamu akatenda maovu kwa sababu hakuuelekeza moyo wake katika kumtafuta BWANA Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rehoboamu akatenda maovu kwa sababu hakuuelekeza moyo wake katika kumtafuta bwana Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akatenda yaliyo maovu, kwa kuwa hakuukaza moyo wake amtafute BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rehoboamu alitenda maovu, kwa maana hakunuia kumtafuta Mwenyezi-Mungu kwa moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyokuwa mabaya, kwani hakuuelekeza moyo wake, umtafute Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akatenda yaliyo maovu, kwa kuwa hakuukaza moyo wake amtafute BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rehoboamu alitenda maovu, kwa maana hakutayarisha moyo wake kwa kumutafuta Yawe.