2 Chronicles 12:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mwaka wa tano wa utawala wake, kwa sababu hawakumtii Mwenyezi-Mungu, Shishaki, mfalme wa Misri aliushambulia Yerusalemu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu hawakuwa waaminifu kwa Mwenyezi Mungu, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa katika mwaka wa tano wa mfalme Rehoboamu, akapanda Shishaki, mfalme wa Misri, juu ya Yerusalemu; kwa kuwa walikuwa wamemwasi Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mwaka wa tano wa utawala wake, kwa sababu hawakumtii Mwenyezi-Mungu, Shishaki, mfalme wa Misri aliushambulia Yerusalemu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu hawakuwa waaminifu kwa BWANA, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu katika mwaka wa tano wa kutawala kwa Mfalme Rehoboamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu hawakuwa waaminifu kwa bwana, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa katika mwaka wa tano wa mfalme Rehoboamu, akapanda Shishaki, mfalme wa Misri, juu ya Yerusalemu; kwa kuwa walikuwa wamemwasi BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mwaka wa tano wa utawala wake, kwa sababu hawakumtii Mwenyezi-Mungu, Shishaki, mfalme wa Misri aliushambulia Yerusalemu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa tano wa mfalme Rehabeamu akapanda Sisaki, mfalme wa Misri, kuujia Yerusalemu, kwani waliyavunja maagano ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa katika mwaka wa tano wa mfalme Rehoboamu, akapanda Shishaki, mfalme wa Misri, juu ya Yerusalemu; kwa kuwa walikuwa wamemwasi BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka wa tano wa utawala wake, kwa sababu hawakumutii Yawe, Sisaki, mufalme wa Misri akashambulia muji wa Yerusalema,