2 Chronicles 12:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akiwa na magari 1,200, wapandafarasi 60,000, na askari wengi mno wasiohesabika, waliotoka Misri pamoja naye: Walibia, Wasukii na Waethiopia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akiwa na magari ya vita elfu moja mia mbili, wapanda farasi elfu sitini, na idadi isiyohesabika ya majeshi ya Walibia, Wasukii na Wakushi waliokuja pamoja naye kutoka Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mwenye magari elfu moja na mia mbili, na wapanda farasi sitini elfu; na watu wasiohesabika, waliotoka Misri pamoja naye; Walubi, na Wasukii, na Wakushi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akiwa na magari 1,200, wapandafarasi 60,000, na askari wengi mno wasiohesabika, waliotoka Misri pamoja naye: Walibia, Wasukii na Waethiopia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akiwa na magari ya vita 1,200 na wapanda farasi 60,000 na idadi isiyohesabika ya majeshi ya Walibya, Wasukii na Wakushi yaliyokuja pamoja naye kutoka Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akiwa na magari ya vita 1,200 na wapanda farasi 60,000 na idadi isiyohesabika ya majeshi ya Walibia, Wasukii na Wakushi yaliyokuja pamoja naye kutoka Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akiwa na magari elfu moja na mia mbili, na wapanda farasi elfu sitini; na watu wasiohesabika, waliotoka Misri pamoja naye; Walubi, na Wasukii, na Wakushi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akiwa na magari 1,200, wapandafarasi 60,000, na askari wengi mno wasiohesabika, waliotoka Misri pamoja naye: Walibia, Wasukii na Waethiopia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaleta magari 1200 na wapanda farasi 60000 nao watu waliokuja naye toka Misri hawakuhesabika, Walibia na Wasuki na Wanubi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mwenye magari elfu moja na mia mbili, na wapanda farasi sitini elfu; na watu wasiohesabika, waliotoka Misri pamoja naye; Walubi, na Wasukii, na Wakushi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akiwa na magari elfu moja na mia mbili, waaskari wapanda-farasi elfu makumi sita. Alikuwa vilevile na waaskari wengi sana wasioweza kuhesabiwa toka Misri; Walibia, Wasuki na Waetiopia.