2 Chronicles 13:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abiya alianza kutawala Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu, Abiya akawa mfalme wa Yuda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwaka wa kumi na nane wa mfalme Yeroboamu, akaanza Abiya kutawala juu ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abiya alianza kutawala Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake Mfalme Yeroboamu, Abiya akawa mfalme wa Yuda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu, Abiya akawa mfalme wa Yuda,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwaka wa kumi na nane wa mfalme Yeroboamu, Abiya akaanza kutawala juu ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abiya alianza kutawala Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa 18 wa mfalme Yeroboamu Abia akapata kuwa mfalme wa Wayuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwaka wa kumi na nane wa mfalme Yeroboamu, akaanza Abiya kutawala juu ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abiya akaanza kutawala inchi ya Yuda katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mufalme Yeroboamu.