2 Chronicles 13:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini kuhusu sisi, Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu, wala hatujamwacha. Tena tunao makuhani wa uzao wa Aroni ambao wanamtumikia Mwenyezi-Mungu, nao husaidiwa na Walawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini kwetu sisi, Mwenyezi Mungu ndiye Mungu wetu, wala hatujamwacha. Makuhani wanaomtumikia Mwenyezi Mungu ni wana wa Haruni, nao Walawi wakiwasaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini sisi, Bwana ndiye Mungu wetu, wala sisi hatukumwacha; tena tunao makuhani wanaomtumikia Bwana, wana wa Haruni, na Walawi, kwa kazi yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini kuhusu sisi, Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu, wala hatujamwacha. Tena tunao makuhani wa uzao wa Aroni ambao wanamtumikia Mwenyezi-Mungu, nao husaidiwa na Walawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa habari yetu sisi, BWANA ndiye Mungu wetu, wala hatujamwacha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini kwetu sisi, bwana ndiye Mungu wetu, wala hatujamwacha. Makuhani wanaomtumikia bwana ni wana wa Haruni, nao Walawi wakiwasaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini sisi, BWANA ndiye Mungu wetu, wala sisi hatukumwacha; tena tunao makuhani wanaomtumikia BWANA, wana wa Haruni, na Walawi, kwa kazi yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini kuhusu sisi, Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu, wala hatujamwacha. Tena tunao makuhani wa uzao wa Aroni ambao wanamtumikia Mwenyezi-Mungu, nao husaidiwa na Walawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sisi Bwana Mungu wetu hakutuacha, nao wana wa Haroni wanamtumikia Bwana kuwa watambikaji, nao Walawi wanafanya kazi zao;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini sisi, BWANA ndiye Mungu wetu, wala sisi hatukumwacha; tena tunao makuhani wanaomtumikia BWANA, wana wa Haruni, na Walawi, kwa kazi yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini kwa ngambo yetu, Yawe ni Mungu wetu, wala hatujamwacha. Tena tuko na makuhani wa uzao wa Haruni ambao wanamutumikia Yawe, nao wanasaidiwa na Walawi.