2 Chronicles 13:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Yuda walipotazama nyuma, walishtuka kuona wamezingirwa; basi walimlilia Mwenyezi-Mungu, nao makuhani wakazipiga tarumbeta zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yuda wakageuka na kuona kwamba wanashambuliwa mbele na nyuma. Ndipo wakamlilia Mwenyezi Mungu. Makuhani wakapiga tarumbeta zao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yuda walipotazama nyuma, angalia, vita vikawa mbele na nyuma; wakamlilia Bwana, na makuhani wakapiga mapanda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Yuda walipotazama nyuma, walishtuka kuona wamezingirwa; basi walimlilia Mwenyezi-Mungu, nao makuhani wakazipiga tarumbeta zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakageuka na kuona kwamba wanashambuliwa pande zote mbele na nyuma. Ndipo wakamlilia BWANA. Makuhani wakapiga tarumbeta zao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yuda wakageuka na kuona kwamba wanashambuliwa mbele na nyuma. Ndipo wakamlilia bwana. Makuhani wakapiga tarumbeta zao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yuda walipotazama nyuma, angalia, vita vikawa mbele na nyuma; wakamlilia BWANA, na makuhani wakapiga parapanda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Yuda walipotazama nyuma, walishtuka kuona wamezingirwa; basi walimlilia Mwenyezi-Mungu, nao makuhani wakazipiga tarumbeta zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda walipogeuka wakaona, ya kuwa hawana budi kupigana mbele na nyuma; ndipo, walipomlilia Bwana, watambikaji wakayapiga matarumbeta yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yuda walipotazama nyuma, angalia, vita vikawa mbele na nyuma; wakamlilia BWANA, na makuhani wakapiga mapanda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Yuda walipoangalia nyuma, walishituka kuona wamezungukwa; basi wakamulilia Yawe, nao makuhani wakapiga baragumu zao.