2 Chronicles 13:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Israeli waliwakimbia watu wa Yuda naye Mungu akawatia mikononi mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakakimbia mbele ya Yuda, naye Mungu akawatia mikononi mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli wakakimbia mbele ya Yuda; naye Mungu akawaua mikononi mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Israeli waliwakimbia watu wa Yuda naye Mungu akawatia mikononi mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakakimbia mbele ya Yuda, naye Mungu akawatia Israeli mikononi mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakakimbia mbele ya Yuda, naye Mungu akawatia Israeli mikononi mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli wakakimbia mbele ya Yuda; naye Mungu akawaua mikononi mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Israeli waliwakimbia watu wa Yuda naye Mungu akawatia mikononi mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wana wa Isiraeli walipowakimbia Wayuda, naye Mungu akawatia mikononi mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli wakakimbia mbele ya Yuda; naye Mungu akawaua mikononi mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Israeli wakawakimbia Wayuda naye Mungu akawatia katika mikono yao.