2 Chronicles 13:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abiya alimfukuza Yeroboamu, akamnyanganya baadhi ya miji yake: Betheli, Yeshana, Efroni pamoja na vijiji vilivyokuwa kandokando ya miji hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abiya akamfuatia Yeroboamu na kuteka miji ya Betheli, Yeshana na Efroni kutoka kwake, pamoja na vijiji vya miji hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abiya akamfuata Yeroboamu, akamnyang'anya miji, Betheli na miji yake, na Yeshana na miji yake, na Efroni na miji yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abiya alimfukuza Yeroboamu, akamnyang'anya baadhi ya miji yake: Betheli, Yeshana, Efroni pamoja na vijiji vilivyokuwa kandokando ya miji hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abiya akamfuatia Yeroboamu na kuteka miji ya Betheli, Yeshana na Efroni kutoka kwake, pamoja na vijiji vinavyoizunguka miji hiyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abiya akamfuatia Yeroboamu na kuteka miji ya Betheli, Yeshana na Efroni kutoka kwake, pamoja na vijiji vinavyoizunguka miji hiyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abiya akamfuata Yeroboamu, akamnyang'anya miji, Betheli na vijiji vyake na Yeshana na vijiji vyake, na Efroni na vijiji vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abiya alimfukuza Yeroboamu, akamnyanganya baadhi ya miji yake: Betheli, Yeshana, Efroni pamoja na vijiji vilivyokuwa kandokando ya miji hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abia akakimbia, amfuate Yeroboamu na kumfukuza, akateka kwake miji, ndio Beteli na mitaa yake na Yesana na mitaa yake na Efuraimu na mitaa yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abiya akamfuata Yeroboamu, akamnyang’anya miji, Betheli na miji yake, na Yeshana na miji yake, na Efroni na miji yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abiya akamufukuza Yeroboamu, akamunyanganya miji yake: Beteli, Yesana, Efuroni pamoja na vijiji vilivyokuwa kandokando ya miji hiyo.