2 Chronicles 13:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalemu. Mama yake alikuwa Maaka binti Urieli wa Gibea. Kulitokea vita kati ya Abiya na Yeroboamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akatawala huko Yerusalemu miaka mitatu. Mama yake aliitwa Maaka, binti Urieli wa Gibea. Basi kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka binti Urieli wa Gibea. Kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalemu. Mama yake alikuwa Maaka binti Urieli wa Gibea. Kulitokea vita kati ya Abiya na Yeroboamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akatawala huko Yerusalemu miaka mitatu. Mama yake aliitwa Maaka, binti Urieli wa Gibeoni. Basi kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akatawala huko Yerusalemu miaka mitatu. Mama yake aliitwa Maaka, binti Urieli wa Gibea. Basi kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka binti Urieli wa Gibea. Kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalemu. Mama yake alikuwa Maaka binti Urieli wa Gibea. Kulitokea vita kati ya Abiya na Yeroboamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawa mfalme mle Yerusalemu miaka 3; jina la mama yake ni Mikaya, binti urieli wa Gibeoni. Naye akapiga vita na Yeroboamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka binti Urieli wa Gibea. Kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalema. Mama yake aliitwa Mikaya binti ya Urieli wa Gibea. Kukatokea vita kati ya Abiya na Yeroboamu.