2 Chronicles 13:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeroboamu hakuweza kupata nguvu tena wakati wa Abiya. Mwishowe Mwenyezi-Mungu alimpiga, naye akafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeroboamu hakupata nguvu tena wakati wa utawala wa Abiya. Naye Mwenyezi Mungu akampiga Yeroboamu akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala Yeroboamu hakupata nguvu tena siku za Abiya; kisha Bwana akampiga, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeroboamu hakuweza kupata nguvu tena wakati wa Abiya. Mwishowe Mwenyezi-Mungu alimpiga, naye akafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeroboamu hakupata nguvu tena wakati wa utawala wa Abiya. Naye BWANA akampiga Yeroboamu akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeroboamu hakupata nguvu tena wakati wa utawala wa Abiya. Naye bwana akampiga Yeroboamu akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala Yeroboamu hakupata nguvu tena siku za Abiya; kisha BWANA akampiga, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeroboamu hakuweza kupata nguvu tena wakati wa Abiya. Mwishowe Mwenyezi-Mungu alimpiga, naye akafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeroboamu hakupata nguvu tena katika hizo siku za Abia, kisha Bwana akampiga, akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala Yeroboamu hakupata nguvu tena siku za Abiya; kisha BWANA akampiga, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeroboamu hakuweza kupata nguvu tena wakati wa Abiya. Kwa mwisho Yawe akamupiga, naye akakufa.