2 Chronicles 13:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Abiya alisimama juu ya mlima Semaraimu, ulioko kati ya milima ya Efraimu, akamwambia Yeroboamu na watu wa Israeli, “Nisikilize ewe Yeroboamu na watu wote wa Israeli!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abiya akasimama juu ya Mlima Semaraimu, katika nchi ya vilima ya Efraimu, naye akasema, “Yeroboamu na Waisraeli wote, nisikilizeni!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Abiya akasimama juu ya kilima cha Semaraimu, kilichoko milimani mwa Efraimu, akasema, Nisikieni, enyi Yeroboamu na Israeli wote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Abiya alisimama juu ya mlima Semaraimu, ulioko kati ya milima ya Efraimu, akamwambia Yeroboamu na watu wa Israeli, “Nisikilize ewe Yeroboamu na watu wote wa Israeli!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abiya akasimama juu ya Mlima Semaraimu, katika nchi ya vilima ya Efraimu, naye akasema, “Yeroboamu na Israeli yote, nisikilizeni mimi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abiya akasimama juu ya Mlima Semaraimu, katika nchi ya vilima ya Efraimu, naye akasema, “Yeroboamu na Israeli yote, nisikilizeni mimi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Abiya akasimama juu ya kilima cha Semaraimu, kilichoko milimani mwa Efraimu, akasema, Nisikieni, enyi Yeroboamu na Israeli wote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Abiya alisimama juu ya mlima Semaraimu, ulioko kati ya milima ya Efraimu, akamwambia Yeroboamu na watu wa Israeli, “Nisikilize ewe Yeroboamu na watu wote wa Israeli!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abia akaondoka kuja kusimama juu ya mlima wa Semaraimu ulioko milimani kwa Efuraimu, akasema: Nisikilizeni, Yeroboamu nanyi Waisiraeli wote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Abiya akasimama juu ya kilima cha Semaraimu, kilichoko milimani mwa Efraimu, akasema, Nisikieni, enyi Yeroboamu na Israeli wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Abiya akasimama juu ya mulima Zemaraimu, unaokuwa kati ya milima ya Efuraimu akamwambia Yeroboamu na Waisraeli: “Unisikilize, ewe Yeroboamu na Waisraeli wote!