2 Chronicles 13:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yeroboamu mwana wa Nebati mtumishi wa Solomoni, mwana wa Daudi alimwasi bwana wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo Yeroboamu mwana wa Nebati afisa wa Sulemani mwana wa Daudi, aliasi dhidi ya bwana wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Yeroboamu mwana wa Nebati, mtumwa wa Sulemani mwana wa Daudi, akainuka, akamfanyia fitina bwana wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yeroboamu mwana wa Nebati mtumishi wa Solomoni, mwana wa Daudi alimwasi bwana wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo Yeroboamu mwana wa Nebati afisa wa Solomoni mwana wa Daudi, aliasi dhidi ya bwana wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo Yeroboamu mwana wa Nebati afisa wa Sulemani mwana wa Daudi, aliasi dhidi ya bwana wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Yeroboamu mwana wa Nebati, mtumishi wa Sulemani mwana wa Daudi, akainuka, akamfanyia fitina bwana wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yeroboamu mwana wa Nebati mtumishi wa Solomoni, mwana wa Daudi alimwasi bwana wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yeroboamu, mwana wa Nebati, aliyekuwa mtumishi wa Salomo, mwana wa Dawidi, akaondoka kwa kumkataa bwana wake na kuacha kumtii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Yeroboamu mwana wa Nebati, mtumwa wa Sulemani mwana wa Daudi, akainuka, akamfanyia fitina bwana wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yeroboamu mwana wa Nebati mutumishi wa Solomono mwana wa Daudi alimwasi bwana wake.