2 Chronicles 14:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu aliwashinda Waethiopia mbele ya Asa na jeshi lake la watu wa Yuda. Waethiopia wakakimbia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akawapiga Wakushi mbele ya Asa na Yuda. Wakushi wakakimbia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Bwana akawapiga Wakushi mbele ya Asa, na mbele ya Yuda; na Wakushi wakakimbia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu aliwashinda Waethiopia mbele ya Asa na jeshi lake la watu wa Yuda. Waethiopia wakakimbia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akawapiga Wakushi mbele ya Asa na Yuda. Wakushi wakakimbia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akawapiga Wakushi mbele ya Asa na Yuda. Wakushi wakakimbia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, BWANA akawapiga Wakushi mbele ya Asa, na mbele ya Yuda; na Wakushi wakakimbia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu aliwashinda Waethiopia mbele ya Asa na jeshi lake la watu wa Yuda. Waethiopia wakakimbia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipowapiga Wanubi mbele ya Asa na mbele ya Wayuda, Wanubi wakakimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, BWANA akawapiga Wakushi mbele ya Asa, na mbele ya Yuda; na Wakushi wakakimbia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asa pamoja na waaskari wake wakawafuatilia mpaka Gerari, wakawaua Waetiopia wengi sana, hapakubaki hata mumoja, maana walikuwa wamekwisha kushindwa na Yawe pamoja na jeshi lake. Jeshi la Yuda likateka vitu vingi sana.