2 Chronicles 14:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asa alitenda yaliyokuwa mazuri na mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asa akatenda yaliyo mema na haki machoni pa Mwenyezi Mungu, Mungu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Asa akafanya yaliyo mema, yaliyo ya adili, machoni pa Bwana, Mungu wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asa alitenda yaliyokuwa mazuri na mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asa akatenda yaliyo mema na haki machoni pa BWANA Mungu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asa akatenda yaliyo mema na haki machoni pa bwana Mwenyezi Mungu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Asa akafanya yaliyo mema, yaliyo ya adili, machoni pa BWANA, Mungu wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asa alitenda yaliyokuwa mazuri na mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asa akayafanya mema yanyokayo machoni pake Bwana Mungu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Asa akafanya yaliyo mema, yaliyo ya adili, machoni pa BWANA, Mungu wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliondoa katika inchi mazabahu za kigeni na pahali pa kuabudia miungu mingine, akabomoa minara na kukatakata sanamu za Ashera.