2 Chronicles 14:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliondoa nchini madhabahu za kigeni na mahali pa kuabudia miungu mingine, akabomoa minara na kuzikatakata sanamu za Ashera.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaziondoa madhabahu za kigeni na mahali pa juu pa kuabudia, akayavunja yale mawe ya kuabudiwa na kuzikatakata nguzo za Maashera.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana aliziondoa madhabahu za kigeni, na mahali pa juu, akazivunja nguzo, akayakata-kata maashera;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliondoa nchini madhabahu za kigeni na mahali pa kuabudia miungu mingine, akabomoa minara na kuzikatakata sanamu za Ashera.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaziondoa madhabahu za kigeni na mahali pa juu pa kuabudia miungu, akayavunja yale mawe ya kuabudiwa na kuzikatakata nguzo za Maashera.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaziondoa madhabahu za kigeni na mahali pa juu pa kuabudia miungu, akayavunja yale mawe ya kuabudiwa na kuzikatakata nguzo za Maashera.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana aliziondoa madhabahu za kigeni, na mahali pa juu, akazivunja nguzo, akayakatakata maashera;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliondoa nchini madhabahu za kigeni na mahali pa kuabudia miungu mingine, akabomoa minara na kuzikatakata sanamu za Ashera.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akapaondoa pa kutambikia miungu migeni na matambiko ya vilimani, akazivunja nazo nguzo za mawe za kutambikia, nayo miti ya Ashera akaikatakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana aliziondoa madhabahu za kigeni, na mahali pa juu, akazivunja nguzo, akayakata-kata maashera;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaamuru watu wa Yuda wamutafute Yawe, Mungu wa babu zao, na kutii Sheria na amri.