2 Chronicles 14:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaamuru watu wa Yuda wamtafute Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, na kuzitii sheria na amri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaamuru Yuda kumtafuta Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zao, na kutii sheria zake na amri zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akawaamuru Yuda wamtafute Bwana, Mungu wa baba zao, na kuzitenda torati na amri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaamuru watu wa Yuda wamtafute Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, na kuzitii sheria na amri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaamuru Yuda kumtafuta BWANA, Mungu wa baba zao na kutii sheria zake na amri zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaamuru Yuda kumtafuta bwana, Mungu wa baba zao na kutii sheria zake na amri zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akawaamuru Yuda wamtafute BWANA, Mungu wa baba zao, na kuzitenda torati na amri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaamuru watu wa Yuda wamtafute Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, na kuzitii sheria na amri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia Wayuda, wamtafute Bwana Mungu wa baba zao, wayafanye Maonyo na maagizo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akawaamuru Yuda wamtafute BWANA, Mungu wa baba zao, na kuzitenda torati na amri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile aliondoa pahali pote pa kuabudia miungu mingine na meza za kufukizia ubani kutoka katika miji yote ya Yuda; halafu ufalme wake ulikuwa na amani chini ya utawala wake.