2 Chronicles 14:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijenga miji yenye ngome katika Yuda wakati huo wa amani, na kwa muda wa miaka kadhaa, hapakutokea vita kwa maana Mwenyezi-Mungu alimpa amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajenga miji yenye ngome katika Yuda, wakati nchi ikiwa na amani. Hakuna mtu yeyote aliyepigana vita naye katika miaka hiyo, kwa kuwa Mwenyezi Mungu alimpa amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajenga miji yenye maboma katika Yuda; kwa kuwa nchi ilikuwa imestarehe, wala hakuwa na vita miaka ile; kwa sababu Bwana amemstarehesha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijenga miji yenye ngome katika Yuda wakati huo wa amani, na kwa muda wa miaka kadhaa, hapakutokea vita kwa maana Mwenyezi-Mungu alimpa amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga miji yenye ngome katika Yuda, wakati nchi ikiwa na amani. Hakuna mtu ye yote aliyepigana vita naye katika miaka hiyo, kwa kuwa BWANA alimstarehesha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga miji yenye ngome katika Yuda, wakati nchi ikiwa na amani. Hakuna mtu yeyote aliyepigana vita naye katika miaka hiyo, kwa kuwa bwana alimstarehesha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajenga miji yenye maboma katika Yuda; kwa kuwa nchi ilikuwa imestarehe, wala hakuwa na vita miaka ile; kwa sababu BWANA alimpa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijenga miji yenye ngome katika Yuda wakati huo wa amani, na kwa muda wa miaka kadhaa, hapakutokea vita kwa maana Mwenyezi-Mungu alimpa amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajenga miji yenye maboma katika nchi ya Yuda, kwani nchi ilikuwa imetulia, hakuwa na vita vyo vyote katika miaka hiyo, kwani Bwana alimpatia utulivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajenga miji yenye maboma katika Yuda; kwa kuwa nchi ilikuwa imestarehe, wala hakuwa na vita miaka ile; kwa sababu BWANA amemstarehesha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Asa akawaambia watu wa Yuda: “Tujenge miji hii na kuizungushia kuta na minara, milango yenye vifungio vya vyuma. Inchi ingali katika mikono yetu kwa maana tumetenda mapenzi ya Yawe, Mungu wetu, naye ametupatia amani pande zote.” Basi wakajenga na kufanikiwa.