2 Chronicles 14:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la askari 1,000,000 na magari 300, akasonga mbele hadi Maresha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zera Mkushi akatoka kupigana dhidi yao akiwa na jeshi la watu maelfu ya maelfu na magari ya vita mia tatu, nao wakaja Maresha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha, akatoka juu yao Zera Mkushi, mwenye jeshi elfu elfu, na magari mia tatu; akaja Maresha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la askari 1,000,000 na magari 300, akasonga mbele hadi Maresha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zera Mkushi akatoka kupigana dhidi yao akiwa na jeshi la watu maelfu ya maelfu na magari ya vita 300, nao wakaja mpaka Maresha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zera Mkushi akatoka kupigana dhidi yao akiwa na jeshi la watu maelfu ya maelfu na magari ya vita 300, nao wakaja mpaka Maresha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha, Zera Mkushi alikuja kuwashambulia akiwa na jeshi la watu milioni moja na magari mia tatu akaja Maresha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la askari 1,000,000 na magari 300, akasonga mbele hadi Maresha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipotokea kwao Mnubi Zera mwenye vikosi vya watu milioni na magari 340, akaja mpaka Maresa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha, akatoka juu yao Zera Mkushi, mwenye jeshi elfu elfu, na magari mia tatu; akaja Maresha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asa alitoka akaenda kupigana naye. Pande zote mbili zilijipanga katika Bonde la Sefata karibu na Maresa.