2 Chronicles 15:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo, walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za ng'ombe 700 na kondoo 7,000, kutoka katika zile nyara walizoteka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo wakamtolea Mwenyezi Mungu dhabihu za ng’ombe mia saba, kondoo na mbuzi elfu saba kutoka nyara walizoteka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamchinjia Bwana siku ile, katika nyara walizozileta, dhabihu za ng'ombe mia saba, na kondoo elfu saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo, walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za ng'ombe 700 na kondoo 7,000, kutoka katika zile nyara walizoteka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo wakamtolea BWANA dhabihu za ng'ombe 700, kondoo na mbuzi 7,000 kutoka katika zile nyara walizoteka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo wakamtolea bwana dhabihu za ng’ombe 700, kondoo na mbuzi 7,000 kutoka zile nyara walizoteka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamchinjia BWANA siku ile, katika nyara walizozileta, dhabihu za ng'ombe mia saba, na kondoo elfu saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo, walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za ng'ombe 700 na kondoo 7,000, kutoka katika zile nyara walizoteka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamtolea Bwana siku hiyo ng'ombe za tambiko, walizozitoa katika mateka: ng'ombe 700 na kondoo 7000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamchinjia BWANA siku ile, katika nyara walizozileta, dhabihu za ng’ombe mia saba, na kondoo elfu saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile, walimutolea Yawe sadaka za ngombe mia saba na kondoo elfu saba, kutoka katika vile vitu walivyoteka.