2 Chronicles 15:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wakafanya agano, ya kuwa watamtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, kwa moyo wote na kwa roho yao yote;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakafanya agano kumtafuta Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zao, kwa moyo wao wote na kwa roho yao yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafanya agano, ya kuwa watamtafuta Bwana, Mungu wa baba zao, kwa mioyo yao yote, na kwa roho zao zote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wakafanya agano, ya kuwa watamtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, kwa moyo wote na kwa roho yao yote;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakafanya agano kumtafuta BWANA, Mungu wa baba zao kwa moyo wao wote na kwa roho yao yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakafanya agano kumtafuta bwana, Mungu wa baba zao kwa moyo wao wote na kwa roho yao yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafanya agano, ya kuwa watamtafuta BWANA, Mungu wa baba zao, kwa mioyo yao yote, na kwa roho zao zote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo wakafanya agano, ya kuwa watamtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, kwa moyo wote na kwa roho yao yote;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaagana, wamtafute Bwana Mungu wa baba zao kwa mioyo yao yote na kwa roho zao zote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafanya agano, ya kuwa watamtafuta BWANA, Mungu wa baba zao, kwa mioyo yao yote, na kwa roho zao zote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakafanya agano, kwamba watamutafuta Yawe, Mungu wa babu zao, kwa moyo wote na kwa roho yao yote;