2 Chronicles 15:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kwamba yeyote asiyemtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, awe kijana au mzee, mwanamume au mwanamke, sharti auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wote ambao hawangemtafuta Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, wangelazimika kuuawa, akiwa mdogo au mkubwa, mwanaume au mwanamke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ya kwamba ye yote asiyemtafuta Bwana, Mungu wa Israeli, atauawa, akiwa mdogo au mkubwa, kwamba ni mwanamume au mwanamke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kwamba yeyote asiyemtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, awe kijana au mzee, mwanamume au mwanamke, sharti auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wote ambao hawangemtafuta BWANA, Mungu wa Israeli wangelazimika kuuawa, akiwa mdogo au mkubwa, mwanaume au mwanamke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wote ambao hawangemtafuta bwana, Mungu wa Israeli wangelazimika kuuawa, akiwa mdogo au mkubwa, mwanaume au mwanamke.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ya kwamba yeyote asiyemtafuta BWANA, Mungu wa Israeli, atauawa, akiwa mdogo au mkubwa, awe ni mwanamume au mwanamke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kwamba yeyote asiyemtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, awe kijana au mzee, mwanamume au mwanamke, sharti auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwamba: Kila asiyemtafuta Bwana Mungu wa Isiraeli auawe, mdogo kwa mkubwa, mume kwa mke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ya kwamba ye yote asiyemtafuta BWANA, Mungu wa Israeli, atauawa, akiwa mdogo au mkubwa, kwamba ni mwanamume au mwanamke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kwamba yeyote asiyemutafuta Yawe, Mungu wa Israeli, akuwe kijana au muzee, mwanaume au mwanamuke, sharti auawe.