2 Chronicles 15:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimwapia Mwenyezi-Mungu kwa sauti kuu, wakapaza sauti zaidi, wakapiga tarumbeta na baragumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwapia Mwenyezi Mungu kwa sauti kuu, kwa kelele, na kupiga tarumbeta na mabaragumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwapia Bwana kwa sauti kuu, na kwa kelele, na kwa mapanda, na kwa baragumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimwapia Mwenyezi-Mungu kwa sauti kuu, wakapaza sauti zaidi, wakapiga tarumbeta na baragumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwapia BWANA kwa sauti kuu, kwa kupiga kelele, tarumbeta na kwa mabaragumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwapia bwana kwa sauti kuu, kwa kupiga kelele, tarumbeta na kwa mabaragumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwapia BWANA kwa sauti kuu, na kwa kelele, na kwa parapanda, na kwa baragumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimwapia Mwenyezi-Mungu kwa sauti kuu, wakapaza sauti zaidi, wakapiga tarumbeta na baragumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwapia Bwana kuyafanya hayo wakipaza sauti za kumshangilia na kupiga matarumbeta na mabaragumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwapia BWANA kwa sauti kuu, na kwa kelele, na kwa mapanda, na kwa baragumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimwapia Yawe kwa sauti kubwa, wakalalamika zaidi, wakapiga ngunga na baragumu.