2 Chronicles 15:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alivirudisha katika nyumba ya Mungu vifaa vyote vilivyowekwa wakfu na baba yake pamoja na vile alivyoviweka wakfu yeye mwenyewe: Fedha na dhahabu na vyombo vinginevyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaleta ndani ya Hekalu la Mungu fedha na dhahabu na vile vyombo ambavyo yeye na baba yake walikuwa wameviweka wakfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akavileta nyumbani mwa Mungu vitu alivyovitakasa babaye, na vile alivyovitakasa mwenyewe, fedha, na dhahabu, na vyombo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alivirudisha katika nyumba ya Mungu vifaa vyote vilivyowekwa wakfu na baba yake pamoja na vile alivyoviweka wakfu yeye mwenyewe: fedha na dhahabu na vyombo vinginevyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaleta katika Hekalu la Mungu fedha, dhahabu na vile vyombo ambavyo yeye na baba yake walikuwa wameviweka wakfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaleta ndani ya Hekalu la Mungu fedha na dhahabu na vile vyombo ambavyo yeye na baba yake walikuwa wameviweka wakfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akavileta nyumbani mwa Mungu vitu alivyovitakasa babaye, na vile alivyovitakasa mwenyewe, fedha, na dhahabu, na vyombo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alivirudisha katika nyumba ya Mungu vifaa vyote vilivyowekwa wakfu na baba yake pamoja na vile alivyoviweka wakfu yeye mwenyewe: Fedha na dhahabu na vyombo vinginevyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo, baba yake alivyovitakasa, pamoja navyo alivyovitakasa mwenyewe, fedha na dhahabu na vyombo, akavipeleka Nyumbani mwa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akavileta nyumbani mwa Mungu vitu alivyovitakasa babaye, na vile alivyovitakasa mwenyewe, fedha, na dhahabu, na vyombo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alivirudisha katika nyumba ya Mungu vifaa vyote vilivyotakaswa na baba yake pamoja na vile alivyotakasa yeye mwenyewe; feza na zahabu na vyombo vingine.