2 Chronicles 15:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini walipopatwa na shida, walimgeukia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, wakamtafuta, wakampata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini katika taabu yao walimrudia Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, na kumtafuta, naye akaonekana kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini walipomgeukia Bwana, Mungu wa Israeli, katika msiba wao, na kumtafuta, akaonekana kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini walipopatwa na shida, walimgeukia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, wakamtafuta, wakampata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini katika taabu yao walimrudia BWANA, Mungu wa Israeli na kumtafuta, naye akaonekana kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini katika taabu yao walimrudia bwana, Mungu wa Israeli na kumtafuta, naye akaonekana kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini walipomgeukia BWANA, Mungu wa Israeli, katika msiba wao, na kumtafuta, akaonekana kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini walipopatwa na shida, walimgeukia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, wakamtafuta, wakampata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliposongeka wakamrudia Bwana Mungu wa Isiraeli, wakamtafuta, naye akawaonekea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini walipomgeukia BWANA, Mungu wa Israeli, katika msiba wao, na kumtafuta, akaonekana kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini walipopatwa na shida, walimugeukia Yawe, Mungu wa Israeli, wakamutafuta, wakamupata.