2 Chronicles 16:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatimaye Asa alifariki mnamo mwaka wa arubaini na moja wa utawala wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa arobaini na moja wa utawala wa Asa, alikufa, akalala na baba zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asa akalala na babaze, akafa katika mwaka wa arobaini na mmoja wa kumiliki kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatimaye Asa alifariki mnamo mwaka wa arubaini na moja wa utawala wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo katika mwaka wa arobaini na moja wa kutawala kwake Asa, akafa na kulala na baba zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa arobaini na moja wa utawala wa Asa, alikufa na kulala na baba zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asa akalala na babaze, akafa katika mwaka wa arobaini na mmoja wa kumiliki kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatimaye Asa alifariki mnamo mwaka wa arubaini na moja wa utawala wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Asa akaja kulala na baba zake, akafa katika mwaka wa 41 wa ufalme wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asa akalala na babaze, akafa katika mwaka wa arobaini na mmoja wa kumiliki kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asa akakufa katika mwaka wa makumi ine na moja wa utawala wake.