2 Chronicles 16:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Baasha alipopata habari za mashambulizi hayo, aliacha kuujenga mji wa Rama, akasimamisha kazi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baasha aliposikia jambo hili, akasimamisha kujenga Rama na kuacha kazi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa Baasha aliposikia habari hiyo, akaacha kuujenga Rama, akaikomesha kazi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Baasha alipopata habari za mashambulizi hayo, aliacha kuujenga mji wa Rama, akasimamisha kazi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baasha aliposikia jambo hili, akasimamisha kujenga Rama na kuacha kazi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baasha aliposikia jambo hili, akasimamisha kujenga Rama na kuacha kazi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baasha aliposikia habari hiyo, akaacha kuujenga Rama, akaifunga kazi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Baasha alipopata habari za mashambulizi hayo, aliacha kuujenga mji wa Rama, akasimamisha kazi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basa alipoyasikia haya akaacha kuujenga Rama na kuzikomesha kazi zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa Baasha aliposikia habari hiyo, akaacha kuujenga Rama, akaikomesha kazi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Basha alipopata habari za mashambulizi hayo, akaacha kujenga muji wa Rama, akasimamisha kazi yake.