2 Chronicles 17:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Yehoshafati mwanawe alitawala mahali pa baba yake Asa, akajiimarisha dhidi ya Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoshafati mwanawe akawa mfalme baada yake na akajiimarisha dhidi ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yehoshafati mwanawe akatawala mahali pake, akajitia nguvu juu ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Yehoshafati mwanawe alitawala mahali pa baba yake Asa, akajiimarisha dhidi ya Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoshafati mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme na akajiimarisha dhidi ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoshafati mwanawe akawa mfalme baada yake na akajiimarisha dhidi ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yehoshafati mwanawe akatawala mahali pake, akajitia nguvu juu ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Yehoshafati mwanawe alitawala mahali pa baba yake Asa, akajiimarisha dhidi ya Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanawe Yosafati akawa mfalme mahali pake, akajipatia nguvu za kuwatawala Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yehoshafati mwanawe akatawala mahali pake, akajitia nguvu juu ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yosafati mwana wake akatawala pahali pa baba yake Asa, akajiimarisha juu ya inchi ya Israeli.