2 Chronicles 17:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wa pili katika cheo alikuwa kamanda Yehohanani, akiwa na askari 280,000,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na wapiganaji elfu mia mbili na themanini;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wa pili wake Yehohanani akida, na pamoja naye mia mbili na themanini elfu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wa pili katika cheo alikuwa kamanda Yehohanani, akiwa na askari 280,000,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aliyefuata ni jemadari Yehonathani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wa pili wake Yehohanani kamanda, na pamoja naye elfu mia mbili na themanini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wa pili katika cheo alikuwa kamanda Yehohanani, akiwa na askari 280,000,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa pili ni mkuu Yohana, pamoja naye wakawa watu 280000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wa pili wake Yehohanani akida, na pamoja naye mia mbili na themanini elfu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wa pili nyuma yake katika cheo alikuwa jemadari Yohanani, akiwa na waaskari elfu mia mbili na makumi nane,