2 Chronicles 17:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na wa tatu alikuwa Amasia mwana wa Zikri, akiwa na askari mashujaa 200,000. Amasia alijitolea kwa hiari kumtumikia Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya Mwenyezi Mungu, akiwa na wapiganaji elfu mia mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na baada yake Amasia mwana wa Zikri, aliyejitoa kwa Bwana kwa moyo, na pamoja naye mia mbili elfu, watu mashujaa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na wa tatu alikuwa Amasia mwana wa Zikri, akiwa na askari mashujaa 200,000. Amasia alijitolea kwa hiari kumtumikia Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya BWANA, akiwa na askari 200,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya bwana, akiwa na askari 200,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na baada yake Amasia mwana wa Zikri, aliyejitoa kwa BWANA kwa moyo, na pamoja naye elfu mia mbili, watu mashujaa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na wa tatu alikuwa Amasia mwana wa Zikri, akiwa na askari mashujaa 200,000. Amasia alijitolea kwa hiari kumtumikia Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akafuatwa na Amasia, mwana wa Zikiri, aliyejitoa mwenyewe kuwa mtu wa Bwana, pamoja naye wakawa mafundi wa vita wenye nguvu 200000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na baada yake Amasia mwana wa Zikri, aliyejitoa kwa BWANA kwa moyo, na pamoja naye mia mbili elfu, watu mashujaa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na wa tatu alikuwa Amasia mwana wa Sikiri, akiwa na waaskari mashujaa elfu mia mbili. Amasia alijitolea kwa mapenzi yake kumutumikia Yawe.