2 Chronicles 17:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wa pili alikuwa Yehozabadi, aliyekuwa na askari 180,000 waliojiandaa tayari kwa vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na wapiganaji elfu mia moja na themanini tayari kwa vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wa pili wake Yehozabadi, na pamoja naye mia na themanini elfu waliojiweka tayari kwa vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wa pili alikuwa Yehozabadi, aliyekuwa na askari 180,000 waliojiandaa tayari kwa vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na askari 180,000 wenye silaha za vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na askari 180,000 wenye silaha za vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wa pili wake Yehozabadi, na pamoja naye elfu mia moja na themanini waliojiweka tayari kwa vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wa pili alikuwa Yehozabadi, aliyekuwa na askari 180,000 waliojiandaa tayari kwa vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa pili alikuwa Yozabadi, pamoja naye wakawa watu 180000 wenye mata ya vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wa pili wake Yehozabadi, na pamoja naye mia na themanini elfu waliojiweka tayari kwa vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wa pili nyuma yake alikuwa Yozabadi, aliyekuwa na waaskari elfu mia moja makumi nane waliojitayarisha kwa vita.