2 Chronicles 17:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote hao walimhudumia mfalme huko Yerusalemu; na zaidi ya hayo, mfalme aliweka askari wengine katika miji ile mingine yenye ngome kote nchini Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ndio wapiganaji waliomtumikia mfalme, mbali na ambao mfalme aliwaweka katika miji yenye ngome katika Yuda yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ndio waliomngojea mfalme, zaidi ya hao mfalme aliowaweka katika miji yenye maboma katika Yuda yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote hao walimhudumia mfalme huko Yerusalemu; na zaidi ya hayo, mfalme aliweka askari wengine katika miji ile mingine yenye ngome kote nchini Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio watu waliomtumikia mfalme huko Yerusalemu, mbali na hawa mfalme aliweka askari katika miji yenye ngome katika Yuda yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliomtumikia mfalme, mbali na wale mfalme aliweka katika miji yenye ngome huko Yuda yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ndio waliomngojea mfalme, zaidi ya hao mfalme aliowaweka katika miji yenye maboma katika Yuda yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote hao walimhudumia mfalme huko Yerusalemu; na zaidi ya hayo, mfalme aliweka askari wengine katika miji ile mingine yenye ngome kote nchini Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndio waliomtumikia mfalme kuliko wale, mfalme aliowaweka katika miji yenye maboma katika nchi yote ya Yuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ndio waliomngojea mfalme, zaidi ya hao mfalme aliowaweka katika miji yenye maboma katika Yuda yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote hao walimutumikia mufalme kule Yerusalema, na zaidi ya hayo, aliweka waaskari wengine katika miji ile mingine yenye makimbilio kote katika inchi ya Yuda.