2 Chronicles 17:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipenda sana moyoni kumtumikia Mwenyezi-Mungu, na zaidi ya hayo, alipaharibu mahali pote pa kuabudia miungu mingine na sanamu za Ashera, mungu wa kike, nchini Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wake ukawa hodari katika njia za Mwenyezi Mungu na zaidi ya yote, akaondoa mahali pa juu pa kuabudia na nguzo za Maashera katika Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukainuliwa moyo wake katika njia za Bwana; na zaidi ya hayo akapaondoa mahali pa juu, na maashera, katika Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipenda sana moyoni kumtumikia Mwenyezi-Mungu, na zaidi ya hayo, alipaharibu mahali pote pa kuabudia miungu mingine na sanamu za Ashera, mungu wa kike, nchini Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wake ukawa hodari katika njia za BWANA na zaidi ya yote, akaondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu na nguzo za Maashera katika Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wake ukawa hodari katika njia za bwana na zaidi ya yote, akaondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu na nguzo za Maashera katika Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukainuliwa moyo wake katika njia za BWANA; na zaidi ya hayo akapaondoa mahali pa juu, na Maashera, katika Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipenda sana moyoni kumtumikia Mwenyezi-Mungu, na zaidi ya hayo, alipaharibu mahali pote pa kuabudia miungu mingine na sanamu za Ashera, mungu wa kike, nchini Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuzishika njia za Bwana moyo wake ukawa mkuu, kisha akayaondoa matambiko ya vilimani na miti ya Ashera katika nchi ya Yuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukainuliwa moyo wake katika njia za BWANA; na zaidi ya hayo akapaondoa mahali pa juu, na maashera, katika Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipenda sana ndani ya moyo kumutumikia Yawe, na zaidi ya hayo, alipaharibu pahali pote pa kuabudia miungu mingine na sanamu za Ashera, mungu wa kike, katika inchi ya Yuda.