2 Chronicles 17:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi tisa na Makuhani wawili waliandamana nao. Walawi hao walikuwa Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adoniya, Tobia na Tob-adoniya; na makuhani walikuwa Elishama na Yehoramu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pamoja nao walikuwa na Walawi kadhaa: Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adoniya, Tobia, Tob-Adonia; na pamoja nao makuhani Elishama na Yehoramu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na pamoja nao Walawi, yaani, Shemaya, na Nethania, na Zebadia, na Asaheli, na Shemiramothi, na Yehonathani, na Adonia, na Tobia, na Tob-adonia, Walawi; na pamoja nao Elishama na Yehoramu, makuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi tisa na Makuhani wawili waliandamana nao. Walawi hao walikuwa Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adoniya, Tobia na Tob-adoniya; na makuhani walikuwa Elishama na Yehoramu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pamoja nao walikuwepo Walawi fulani nao ni: Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adonia, Tobia, Tob-Adonia, pamoja nao walikuwapo makuhani Elishama na Yehoramu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pamoja nao walikuwepo Walawi fulani nao ni: Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adoniya, Tobia, Tob-Adonia, pamoja nao walikuwepo makuhani Elishama na Yehoramu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na pamoja nao Walawi, yaani, Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adonia, Tobia, na Tob-adonia, Walawi; na pamoja nao Elishama na Yehoramu, makuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi tisa na Makuhani wawili waliandamana nao. Walawi hao walikuwa Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adoniya, Tobia na Tob-adoniya; na makuhani walikuwa Elishama na Yehoramu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
pamoja nao walikuwa Walawi Semaya na Netania na Zebadia na Asaheli na Semiramoti na Yonatani na Adonia na Tobia na Tobu-Adonia; pamoja nao hawa Walawi walikuwa watambikaji Elisama na Yoramu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na pamoja nao Walawi, yaani, Shemaya, na Nethania, na Zebadia, na Asaheli, na Shemiramothi, na Yehonathani, na Adonia, na Tobia, na Tob-adonia, Walawi; na pamoja nao Elishama na Yehoramu, makuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi kenda na Makuhani wawili wakaandamana nao. Walawi hao walikuwa Semaya, Netania, Zebadia, Asaeli, Semiramoti, Yonatani, Adonia, Tobia na Tobu-Adonia; nao makuhani walikuwa Elisama na Yoramu.