2 Chronicles 17:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikichukua kitabu cha sheria ya Mwenyezi-Mungu, wakazunguka nacho katika miji yote ya Yuda wakifundisha watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakafundisha Yuda yote, wakiwa wamechukua Kitabu cha Torati ya Mwenyezi Mungu; wakazunguka miji yote ya Yuda na kufundisha watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafundisha katika Yuda, wenye kitabu cha torati ya Bwana; wakazunguka katika miji yote ya Yuda, wakafundisha kati ya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikichukua kitabu cha sheria ya Mwenyezi-Mungu, wakazunguka nacho katika miji yote ya Yuda wakifundisha watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakafundisha Yuda yote, wakiwa wamechukua Kitabu cha Torati ya BWANA wakazunguka miji yote ya Yuda na kufundisha watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakafundisha Yuda yote, wakiwa wamechukua Kitabu cha Torati ya bwana wakazunguka miji yote ya Yuda na kufundisha watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafundisha katika Yuda, wenye kitabu cha Torati ya BWANA; wakazunguka katika miji yote ya Yuda, wakafundisha kati ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikichukua kitabu cha sheria ya Mwenyezi-Mungu, wakazunguka nacho katika miji yote ya Yuda wakifundisha watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawafundisha watu katika nchi ya Yuda wakikishika kitabu cha Maonyo ya Bwana, wakazunguka katika miji yote ya Yuda na kufundisha watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafundisha katika Yuda, wenye kitabu cha torati ya BWANA; wakazunguka katika miji yote ya Yuda, wakafundisha kati ya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walitwaa kitabu cha Sheria ya Yawe, wakazunguka nacho katika miji yote ya Yuda wakifundisha watu.