2 Chronicles 18:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’ Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatimaye, roho akajitokeza, akasimama mbele za Mwenyezi Mungu na kusema, ‘Nitamshawishi.’ “Mwenyezi Mungu akauliza, ‘Kwa njia gani?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoka pepo, akasimama mbele za Bwana, akasema, Mimi nitamdanganya. Bwana akamwambia, Jinsi gani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’ Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwishoni, roho akajitokeza, akasimama mbele za BWANA na kusema, ‘Nitamshawishi.’ “BWANA akauliza, ‘Kwa njia gani?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwishoni, roho akajitokeza, akasimama mbele za bwana na kusema, ‘Nitamshawishi.’ “ bwana akauliza, ‘Kwa njia gani?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya. BWANA akamwambia, Jinsi gani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’ Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatokea roho, akasimama mbele ya Bwana, akasema: Mimi nitamponza. Bwana akamwuliza: Kwa nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya. BWANA akamwambia, Jinsi gani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, pepo mumoja akajitokeza mbele ya Yawe, akasema: ‘Mimi nitamushawishi.’ Yawe akamwuliza: ‘Kwa njia gani?’